Search This Blog
Powered by Blogger.
1Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu. 2Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa, lakini Mwenyezi-Mungu hupima nia ya mtu. 3Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa. 4Mwenyezi-Mungu ameumba kila kitu kwa kusudi lake; hata waovu kwa ajili ya siku ya maangamizi